Monday, July 22, 2013

Welcome guys to my new blog.i would like to share with you ideas on different aspects. i always believe that mind storm is that much important. you can check me out on twitter or facebook

Kauli tata za Chikawe Uchaguzi Mkuu 2015.

HUKU Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimeweka bayana kwamba hakiungi mkono Serikali tatu kama Rasimu ya Katiba inavyoonyesha, Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe ameibuka na kusema endapo Mabaraza ya Katiba yatawasilisha hoja za kuikubali, kuna uwezekano